kijitonyamaadminJesus LoveSermon March 1, 2022 Mpendwa Msharika,Bwana Yesu Kristo asifiwe!!Tunapenda kukukaribisha kwenye Ibada ya Jumatano ya Majivu itakayofanyika tarehe 02 Machi 2022 kuanzia saa 11 jioni.Rarueni mioyo yenu, wala si mavazi yenu, mkamrudie Bwana, Mungu wenu Yoeli 2:13aMungu akubariki!