Mpendwa Msharika,
Bwana Yesu Kristo asifiwe!!
Tunapenda kukukaribisha kwenye Ibada ya Kusifu na Kuabudu itakayoambatana na Utoaji wa Zaka Kamili (Fungu la Kumi) siku ya Jumapili tarehe 06 Machi, 2022.
Ibada itakuwa MOJA na itaanza saa 1;00 asubuhi
Ibada itaambatana na Maombi Maalum kwa watu wote wenye mahitaji mbalimbali.
Tena kwao itasikiwa shukrani, na sauti yao wachangamkao; nami nitawazidisha, wala hawatakuwa wachache; tena nitawatukuza, wala hawatakuwa wanyonge. Yeremia 30:19
Mungu akubariki!
