Jumapili ya tarehe 31 Julai 2022, Sharika na Mitaa ya Dayosisi ya Mashariki na Pwani zitafanya mapendekezo ya

KAMATI YA KUSIMAMIA UCHAGUZI WA BARAZA LA WAZEE 2022
Mkutano Mkuu maalum wa Usharika umewachagua Washarika watano (5) kwa ajili ya kusimamia uchaguzi wa Baraza la Wazee