July 5, 2022 KAMATI YA KUSIMAMIA UCHAGUZI WA BARAZA LA WAZEE 2022 Mkutano Mkuu maalum wa Usharika umewachagua Washarika watano (5) kwa ajili ya kusimamia uchaguzi wa Baraza la Wazee