MAPENDEKEZO BARAZA JIPYA LA WAZEE TAREHE 31 JULAI 2022

Jumapili ya tarehe 31 Julai 2022, Sharika na Mitaa ya Dayosisi ya Mashariki na Pwani zitafanya mapendekezo ya Washarika watakaounda Mabaraza ya Wazee.

Hapa Usharikani, mapendekezo hayo yatafanyika katika Ibada MOJA itakayoanza saa 1 kamili asubuhi.

Ibada hiyo itaambatana na Ushirika Mtakatifu.

Karibuni tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked*