Kamati ya Uchaguzi ya Usharika imekamilisha zoezi la uchaguzi wa Baraza la Wazee watakaoitumikia madhabahu kwa miaka minne ijayo 2022-26.
Baraza hilo lililotangazwa lina jumla ya Wazee 33 ambapo 30 walichaguliwa na Washarika katika uchaguzi uliofanyika katika Ibada ya Jumapili tarehe 28 Agosti 2022.
Waliochaguliwa kuunda Baraza la Wazee 2022-26 ni:
1. Reginald Mushi |
2. Nia Mbaga |
3. Michael Kejo |
4. Aluseta Tarimo |
5. Pamela Mwalongo |
6. Salie Mlay |
7. Daniel Msuya |
8. Vicent Lyimo |
9. Noah Kadiva |
10. Gerase Kamugisha |
11. Kezia Pallangyo |
12. Neema Mrema |
13. Scola Mwakatumbula |
14. Festo Sanga |
15. Johns Mbaga |
16. Loyce Rugazia |
17. Tumsifu Siao |
18. Dr. Lusekelo Kasongwa (Uteuzi) |
19. Neema Lowassa |
20. Dr. Harold Adamson |
21. Violet Macha |
22. Dr. Sarah Osima |
23. Amani Kimwaga |
24. Tito Ngajiro |
25. Theonat Mushi. |
26. Dr. Daniel Nkungu |
27. Edwin Samwel (Uteuzi) |
28. Lemmy Patrick (Uteuzi) |
29. Happiness Chamungwana |
30. Akanensia Kibona |
31. Vedasto Ndyamukama |
32. Neema Moshy |
33. Paul Rwegasha Mtumikieni Bwana Mungu kwa furaha. |