Miradi

Huduma Za Kiroho

Kujenga nyumba za watumishi waliopo usharikani na ambao wako kwenye mitaa tunayofungua.

Huduma Za Kijamii

Darasa la ushonaji kwa ajili ya vijana na akina mama.
Miradi

Kitega Uchumi

Usharika unamajengo mawili ya kitega uchumi KLC na KLC Annex

Studio Ya Kurekodi

Studio ya kurekodi nyimbo za kwaya

Mashamba Fukayosi

Kuendeleza shamba lenye hekta 50 huko Mkuranga linalosimamiwa na Kwaya ya Uinjilisti, kununua Tarumbeta na kinanda cha usharika na kufungua Tovuti ya usharika kama sehemu ya tovuti ya Dayosisi ya Mashariki na Pwani