Mpendwa Msharika,
Bwana Yesu Kristo asifiwe!!
Tunapenda kukukaribisha kwenye Ibada ya Familia kwa ajili ya kumshukuru Mungu kutuvusha kipindi cha UVIKO-19 Siku ya Jumapili tarehe 14 Agosti 2022.
Ibada itakuwa MOJA na itaanza saa 1:00 asubuhi.
???? Ibada itaambatana na Maombi Maalum ya shukrani kwa watu wote.
???? Tafadhali mkaribishe Jirani yako na rafiki yako
_Haleluya. Nampenda Bwana kwa kuwa anaisikiliza sauti yangu na dua zangu. Zaburi 116:2
Mungu akubariki!
