Mkutano Mkuu maalum wa Usharika umewachagua Washarika watano (5) kwa ajili ya kusimamia uchaguzi wa Baraza la Wazee utakaofanyika tarehe 28 Agosti 2022.
Washarika waliochaguliwa ni:
1. Mary Mmari
2. Michael Besha
3. Naza Mngumi
4. Monica Soi
5. Baraka Manga
Bwana Mungu awabariki na kuwaongoza vema katika kazi ya Bwana.
