Kwaya Ya Vijana

Kwaya Ya Vijana

Kwaya ilianzishwa mwezi Julai mwaka 1997, Kwaya hii ilitokana na iliyokuwa kwaya ya Uinjilisti Na Vijana. Lengo la kuanzishwa kwa kwaya lilikuwa kutoa nafasi kwa vijana wa Usharika kuweza kumsifu na kumwabudu Mungu kupitia uimbaji. Kwaya hii imeshatoa albamu 8 za nyimbo za Audio ambapo 4 katika hizo ziliztolewa sambamba na video.
Kwaya Ya Vijana

Sifa Za Kujiunga

Maono Ya Kwaya
Kuwafanya mataifa kuwa wana wa Mungu, kuwafundisha na kuwahubiria kweli ya Mungu kupitia uimbaji. Mathayo 28:19-20

Viongozi Wa Kwaya

Jina Cheo
Evance Mmari Mratibu/Mwenyekiti
Winnie Kimaro Mratibu Msaidizi/ Katibu

Mawasiliano

Simu 0742 832 328
Email kijitonyamayouthchoir@gmail.com