Kwaya Ya Uinjilisti Kijitonyama
Kwaya ya Uinjilisti Kijito ilianzishwa mwaka 1986 na ilijulikana kama kwaya ya UINJILISTI ikiwa na jumla ya waimbaji nane (8). Mwaka 1992 katika harakati za kuboresha huduma yake Kwaya iliungana na Kwaya ya VIJANA na kuitwa KWAYA YA VIJANA NA UINJILISTI. Mwaka 1997 Kwaya ilijitenga na Vijana na kubaki kama Kwaya UINJILISTI KIJITO. Kwa sasa Kwaya ina jumla ya waimbaji 125. Kwaya Uinjilisti Kijito ni mwanachama wa Umoja wa Kwaya za Uinjilisti na Uamsho jimbo la Kaskazini (UKUU) na Umoja wa Kwaya za Uinjilisti na Uamsho wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani (UKUD).
Matoleo ya Nyimbo
Mpaka sasa Kwaya ya Uinjilist Kijitonyama ina jumla ya matoleo 14 na inamiliki Studio ambayo inatoa huduma za kurekodi. Jinsi ya kupata nafasi ya kurekodi na matoleo mbalimbali ya kwaya tafadhali bofia hapa (Link ya Kwaya ya uinjilisti ya webpage yao)
Kwaya Ya Uinjilisti
Sifa Za Kujiunga
- Kueneza Neno la Mungu kwa njia ya nyimbo ,mahubiri na michezo ya kuigiza
- Kushirikiana na vikundi mbalimbali vya kiroho ndani na nje ya Usharika
- Kujenga vipaji katika Nyanja tofauti ndani ya Kwaya
Lengo Kuu la Kwaya
Kuhubiri Injili ili kusaidia watu wengi kuletwa katika nuru ya nguvu za Mungu na matumaini ya wokovu na Uzima Milele.
Malengo Mengine Ya Kwaya
- Kueneza Neno la Mungu kwa njia ya nyimbo ,mahubiri na michezo ya kuigiza
- Kushirikiana na vikundi mbalimbali vya kiroho ndani na nje ya Usharika
- Kujenga vipaji katika Nyanja tofauti ndani ya Kwaya
Ratiba
SIKU | SHUGHULI | MUDA |
JUMATATU | MAOMBI | Jioni saa 12:30-02:00 usiku |
JUMANNE | MAZOEZI | Jioni saa 12:30-02:00 usiku |
ALHAMISI | MAZOEZI | Jioni saa 12:30-02:00 usiku |
JUMAMOSI | BIBLE STUDY NA MAZOEZI | Jioni saa 10:00-1:00 usiku |
NB: Ratiba ya Mazoezi inaweza badilika kutokana na majira na matukio
Uongozi wa Kwaya
Jina | Cheo |
BRIGHTSON NJAU | MWENYEKITI |
LIBE MASSAWE | KATIBU |
JULLIETH MWAKIKOTI | KATIBU MSAIDIZI |
ESTER NKAMBWE | MTUNZA HAZINA |
EVELYNE MUSHUBI | MHAZINI MSAIDIZI |
Mawasiliano
- Namba: 0746440000/ 0677071001
- Jina: Kwaya ya Uinjilisti Kijitonyama