Usharika uliagana rasmi na Baraza la Wazee lililotumika kwa miaka minne (2018-22) katika Ibada iliyofanyika tarehe 09 Julai

BARAZA JIPYA LA WAZEE 2022-26
Kamati ya Uchaguzi ya Usharika imekamilisha zoezi la uchaguzi wa Baraza la Wazee watakaoitumikia madhabahu kwa miaka minne

IBADA MAALUM YA SHUKRANI YA FAMILIA 14 AGOSTI 2022
Mpendwa Msharika, Bwana Yesu Kristo asifiwe!! Tunapenda kukukaribisha kwenye Ibada ya Familia kwa ajili ya kumshukuru Mungu kutuvusha

MAPENDEKEZO BARAZA JIPYA LA WAZEE TAREHE 31 JULAI 2022
Jumapili ya tarehe 31 Julai 2022, Sharika na Mitaa ya Dayosisi ya Mashariki na Pwani zitafanya mapendekezo ya

KAMATI YA KUSIMAMIA UCHAGUZI WA BARAZA LA WAZEE 2022
Mkutano Mkuu maalum wa Usharika umewachagua Washarika watano (5) kwa ajili ya kusimamia uchaguzi wa Baraza la Wazee

IBADA YA KUSIFU NA KUABUDU 05 JUNI 2022
Mpendwa Msharika, Bwana Yesu Kristo asifiwe!! Tunapenda kukukaribisha kwenye Ibada ya Kusifu na Kuabudu itakayoambatana na Utoaji wa

IBADA YA KUSIFU NA KUABUDU
Mpendwa Msharika, Bwana Yesu Kristo asifiwe!! Tunapenda kukukaribisha kwenye Ibada ya Kusifu na Kuabudu itakayoambatana na Utoaji wa

IBADA YA JUMATANO YA MAJIVU
Mpendwa Msharika, Bwana Yesu Kristo asifiwe!! Tunapenda kukukaribisha kwenye Ibada ya Jumatano ya Majivu itakayofanyika tarehe 02 Machi

KUINGIZWA KAZINI VIONGOZI WA JUMUIYA
Vingozi wa Jumuiya za Usharika wa Kijitonyama wanatarajiwa kuingizwa kazini katika Ibada ya Jumapili tarehe 20 Februari 2022.

RATIBA YA IBADA ZA JUMA LA KRISMASI NA MWAKA MPYA 2022
Vingozi wa Jumuiya za Usharika wa Kijitonyama wanatarajiwa kuingizwa kazini katika Ibada ya Jumapili tarehe 20 Februari 2022.