Huduma Ya Fellowship

Ibada

Huduma Ya Fellowship

Hufanyika hapa usharikani katika siku za Jumatatu, Ijumaa na Jumapili kuanzia saa 11-12 jioni isipokuwa kwa Jumapili ya mwanzo wa mwezi na mwisho ya mwezi ambapo ibada hufanyika Dayosisi na Jimbo mtawaliwa.

Muda wa Ibada

saa 11-12 jioni
Jumatatu - Ijumaa - Jumapili