Ibada
Huduma Ya Ndoa
Ibada ya ndoa hufanyika kila siku ya Jumamosi kuanzia saa tisa alasiri (9:00) isipokuwa kipindi cha Kwaresma ambapo ibada hii haitolewi isipokuwa kwa kibali maalumu. Usharika pia hutoa huduma ya ndoa za pamoja kwa washarika waliokaa muda mrefu bila kubariki ndoa au wenye ndoa za serikali. Ndoa hizi hufungwa pale panapokuwa kunauhitaji.
Wanandoa Wanatakiwa kuandikisha ndoa zao miezi mitatu kabla ya tarehe ya kufunga ndoa. Mafundisho ya ndoa hufanywa na Dayosisi. Kwa taarifa zaidi wasiliana na ofisi ya Usharika.
Muda wa Ibada
Jumamosi
saa tisa alasiri (9:00)
*kipindi cha Kwaresma ibada hii haitolewi isipokuwa kwa kibali maalumu.
saa tisa alasiri (9:00)
*kipindi cha Kwaresma ibada hii haitolewi isipokuwa kwa kibali maalumu.