Kwaya Kuu

Kwaya Kuu Ya Usharika Kijitonyama

Kwaya Kuu ilianza mwaka 1983 ikiwa Na waimbaji 20, Kwa sasa kwa ya ina jumla ya waimbaji waliosajiliwa wapato 57. Kwaya hii ndiyo kwaya kuu ya usharika, inaimba nyimbo za muziki wa noteni. Kwaya Kuu inaongozwa kwa kufuata taratibu na kanuni za kanisa katika Dayosisi ya Mashariki na Pwani ya KKKT. Kwaya inajumla ya albamu 14 za nyimbo, ambapo 13 ni za sauti(audio) na 1 ni video.
Kwaya Kuu

Sifa Za Kujiunga

Kwaya inaongozwa na utaratibu maalumu uliopo kwenye mwongozo wa Kwaya ambao pamoja na mambo mengine unatoa mwongozo wa jinsi ya kujiunga na kwaya. Aidha, mtu yoyote anayetaka kujiunga na Kwaya atatakiwa kusoma mwongozo huo.
Maono Ya Kwaya
Kuwa kwaya ya mfano kwa kuimba nyimbo za noten kwa utaalamu zaidi na kutumia njia za kisasa kuhubiri injili diniani pote.

Matoleo Mbalimbali yaAlbum

1. Bwana Wa Ahadi 6. Twendeni KwaYesu 10. Ee Bwana Umenichunguza
2. Amina Bwana Yesu 7. Parapanda 11. Heri Wenye Moyo Safi
3. Kantate Domino 8. Njooni Tumsifu Bwana 12. Daniel
4. Yesu Kuteswa Kwako 9. The Best Of Kijito 13. Matengenezo ya Kanisa(500)
5. Katikomile

Uongozi wa Kwaya

Jina Cheo
BRIGHTSON NJAU MWENYEKITI
LIBE MASSAWE KATIBU
JULLIETH MWAKIKOTI KATIBU MSAIDIZI
ESTER NKAMBWE MTUNZA HAZINA
EVELYNE MUSHUBI MHAZINI MSAIDIZI

Walimu wa Kwaya

JOACHIMU KISASA
PAULO BAYONNA

Mawasiliano

+ 255-22-2700279
Mwenyekiti +255 713 271510