Kwaya Ya Vijana
Kwaya ilianzishwa mwezi Julai mwaka 1997, Kwaya hii ilitokana na iliyokuwa kwaya ya Uinjilisti Na Vijana. Lengo la kuanzishwa kwa kwaya lilikuwa kutoa nafasi kwa vijana wa Usharika kuweza kumsifu na kumwabudu Mungu kupitia uimbaji. Kwaya hii imeshatoa albamu 8 za nyimbo za Audio ambapo 4 katika hizo ziliztolewa sambamba na video.
Kwaya Ya Vijana
Sifa Za Kujiunga
- Uwe umeokoka.
- Uwe na jumuiya pamoja na namba ya usharika.
- Uwe na uwezo wa kuimba/kupiga chombo cha muziki
- Uwe na umri kuanzia 15-35
Maono Ya Kwaya
Kuwafanya mataifa kuwa wana wa Mungu, kuwafundisha na kuwahubiria kweli ya Mungu kupitia uimbaji. Mathayo 28:19-20
Viongozi Wa Kwaya
Jina | Cheo |
Evance Mmari | Mratibu/Mwenyekiti |
Winnie Kimaro | Mratibu Msaidizi/ Katibu |
Mawasiliano
Simu | 0742 832 328 |
kijitonyamayouthchoir@gmail.com |