Kujenga nyumba za watumishi waliopo usharikani na ambao wako kwenye mitaa tunayofungua.
Huduma Za Kijamii
Darasa la ushonaji kwa ajili ya vijana na akina mama.
Miradi
Kitega Uchumi
Usharika unamajengo mawili ya kitega uchumi KLC na KLC Annex
Duka la Usharika
Hisa: Usharika umewekeza kwa nunua Hisa kutoka Maendeleo Bank, kwa lengo la kukuza uchumi na uwezeshaji katika utoaji wa huduma mbalimbali za Usharika.
Studio Ya Kurekodi
Studio ya kurekodi nyimbo za kwaya
Mashamba Fukayosi
Kuendeleza shamba lenye hekta 50 huko Mkuranga linalosimamiwa na Kwaya ya Uinjilisti, kununua Tarumbeta na kinanda cha usharika na kufungua Tovuti ya usharika kama sehemu ya tovuti ya Dayosisi ya Mashariki na Pwani