Dira Yetu
Ni Kuona kijana amekua kimwili, kiuchumi, kiakili na kiroho.
Malengo Yetu
- Ni kuhakikisha tunafanya kazi ya kuwajenga Vijana katika kila Nyanja ya kiuchumi, kiroho na kiakili.
LENGO LA UMOJA WA VIJANA
Ni Kumlea kijana kimwili, kiakili na kiroho.
WALENGWA WA UMOJA WA VIJANA
Vijana wa usharika wa Kijitonyama.
Vijana
SIFA ZA KUJIUNGA NA UMOJA WA VIJANA.
Mwanachama wa umoja wa vijana anatakiwa kuwa na sifa zifuatazo:-
- Mkristo, Mlutheri aliyepata Kipaimara mwenye umri kati ya miaka 13 na 35.
- Mkristo, Mlutheri ambaye hajapata Kipaimara na mwenye umri zaidi ya miaka 35 anaruhusiwa kushiriki ila hatakuwa na haki ya kuchagua au kuchaguliwa kuwa kiongozi n.k.
- Mkristo wa dhehebu lingine anaruhusiwa kushiriki iwapo anakubaliana na taratibu na miongozo ya KKKT – DMP ila hatachaguliwa kuwa kiongozi.
- Atakayekuwa na kadi ya uanachama iliyotayarishwa na Idara ya Vijana ya KKKT – DMP ambayo atalipia kiingilio na ada ya kila mwezi.
Vijana
UONGOZI NA MAWASILIANO
Cheo | Jina | Mawasiliano |
Mwenyekiti | John Kishaluli | 0712 545 657 |
M/Mwenyekiti | Calvin Kimaro | 0658 195 037 |
Katibu | Tumaini Kabengula | 0756 094 884 |
Katibu Msaidizi | Rachel Alfred | 0684 464 651 |
Mweka hazina | Ayoub Mdala | 0756 156 963 |