Kujenga nyumba za watumishi waliopo usharikani na ambao wako kwenye mitaa tunayofungua.
Huduma za kijamii
Kufungua shule ya mafunzo ya kushona kwa ajili ya vijana na akina mama.
Kutoa elimu ya masuala ya uchumi kwa Washarika.
Kuongeza kipato
Kuanzisha miradi ya kutupatia kipato kama Hostel n.k.
Kuanzisha na kusimamia duka la usharika.
Kitega Uchumi
Usharika unamajengo mawili ya kitega uchumi KLC na KLC Annex
Mashamba Fukayosi
Kuendeleza shamba lenye hekta 50 huko Mkuranga linalosimamiwa na Kwaya ya Uinjilisti, kununua Tarumbeta na kinanda cha usharika na kufungua Tovuti ya usharika kama sehemu ya tovuti ya Dayosisi ya Mashariki na Pwani.